Tetesi ya Siri Nzito Kati ya Diamond na Mrembo Aliyecheza Kwenye Video ya Raymond Kwetu Hii Hapa
Kupitia Mtandao wa Instagram Siri Nzito nzito zinaendelea kuwekwa wazi kuwa kuna siri nzito kuwa Mwanamuziki Diamond Platnumz anatoka na mrembo Officiallyyn ambaye ameonekana kwenye video ya Msanii mpya wa WCB Raymond kwenye wimbo wake Kwetu....Chanzo cha habari hii kinasema Diamond na Msanii huyo walianza kutoka muda toka mwaka jana...Inasemekana imefikia mpaka mrembo huyo amejichora Tattoo ya Simba mgongoni kwake ambalo ni jina la analojiita Diamond.. Inasemekana Mrembo huyo Lyyn kwa Sasa anapokea michambo ya nguvu na Vitisho kutoka kwa Team Zari huku...Moja ya Kitisho ni Hichi hapa Chini kutoka Instagram Wakati wengine wakirusha madongo kwa Diamond na Mrembo huyo Wengine wanampongeza Diamond kwa kuopoa kitu kizuri.... Soma Huyo Alichoandika: Nataka_shari "UMEJUA KUCHAGUA Asanteeeeeee @diamondplatnumz c kwa uchaguzi huu kabla hujampata huyu ndo MZURI uliyemmiss kwa hawarakikongwe unakuza tuu mtoto wa jirani yetu_ila mnambemenda mto...