Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya UTUNZAJI WA VIFARANGA VYA KUKU

UTUNZAJI WA VIFARANGA VYA KUKU

Picha
Habarini ndugu zangu wakulima, wafugaji na watembeleaji na wapenzi wa blogu hii. Leo ningependa tujulishane na kufundishana juu ya ufugaji wa kuku na hasa tutajikita na utunzaji wa vifaranga mara tu baada ya kuanguliwa yaani kuanzia siku ya kwanza kutoka kwenye yai mpaka siku ya tisini (90), miezi mitatu. Hebu tuanze kwanza na hatua ya kwanza kabla vifaranga havijafika. UTAYARISHAJI WA BANDA. 1. Banda liwe safi 2. Pulizia dawa ya kuondoa viroboto, utitiri na chawa kwa kutumia Ectomin dip. 3. Dawa ya kudhibiti wadudu wasababishao magonjwa tumia disinfectant aina ya Vivid/ YH4. 4. Tayarisha taa na moto (charcoal) kwa ajili ya kuweka chumba kiwe na joto la kutosha. Siku ya 1. i) Vifaranga wanapofika tu wapewe Glucose kwenye maji kwa masaa 8 mfululizo. Baada ya masaa 4 ya mwanzo ya glucose wapewe pamoja na chakula. ii) Baada ya hapo wapatiwe Vitalyte kwa siku 2 mfululizo. Siku ya 3. Wapewe chanjo ya Newcastle Vaccine kwa saa 2 mfululizo. Baada ya hapo wapatiwe Vitalyte au Antis...