Faiza wa Sugu Afunguka: Nilikuwa Nauza Mwili Kwa Faida..Bado Nampenda Sugu Nakumbuka Good Times
Daaah!!Nimejistukia tu na-tune Clouds Tv,nikakutana na kipindi cha "TAKE ONE" cha Zamaladi,huyu mwanamke Faiza anayoongea yamenistua Anasema yeye kuuza huwa anauza,huwa anajilipua ili mradi maisha yawe vizuri.Anasema yeye sio kama wanawake wengine wanafiki wanaojidai kupenda pasipo na pesa.Yeye hupenda mahali penye pesa na huwa hakai kihasarahasara.Anasema aliwahi kuwa na bwana wa Kijerumani ambaye walikuwa wanakutana Hong Kong kula bata,walikuja kuachana baada ya siku Faiza kwenda na jamaa na washikaji zake Club ya usiku ambapo walikuta mademu "wanaouza" na wanafahamiana na Faiza.Jamaa alipoona wale "malaya" wanafahamiana na Faiza akaona hata Faiza atakuwa wa tabia hizo hizo. Anasema yeye anajuwa kukaa sehemu ambazo atakutana na wanaume wenye hela zao,na huwa hatoi tu kwa mwanaume kihasarahasara.Yaani hapo tu anahojiwa kigauni alichovaa kila kaibadirisha mkao wa kukaa,mapaja wazi mpaka watazamaji tumejuwa alikuwa amevaa "kufuri" nyeupe...D...