Kutana na Dawa ya Habbat Soda yenye uwezo wa kutibu Magonjwa 75 kama vile Kichoho, Vidonda vya tumbo, Kisukari, Kujikojolea, Utasa na mengine Mengi
Habbat Soda au Nigella Sativa kwa jina la kisayansi ni dawa ya asili yenye uwezo wa kutibu na kuponyesha kabisa magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya yanayo mkabili mwanadamu. Dawa hii imeanza kutumika tangu enzi na enzi. Dawa hii ilikuwako hata kabla ya enzi za Pontyo wa Pilato ( Pontius Pilates ) .Kutokana na ufanisi wake katika kutibu na kuponyesha kabisa matatizo mbalimbali ya kiafya yanayo wakabili wanadamu, wataalamu wa kale wa tiba asilia katika nchi za Misri, Israel na Arabuni walielezea Habbat Soda kama Dawa inayotibu magonjwa yote kasoro umauti p...