Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MGOSI: KAENI MBALI NA SIMBA IJAYO

MGOSI: KAENI MBALI NA SIMBA IJAYO

Picha
Mshambuliji na nahodha wa kikosi cha Simba SC Mussa Hassan Mgosi Na Ayoub Hinjo Nahodha wa timu ya Simba, Mussa Hassan Mgosi amewatambia wapinzani kuwa msimu ujao wakae mbali kabisa na moto ambao utawashwa na timu hiyo yenye makazi yake Kariakoo, mtaa wa Msimbazi. Mgosi alisema “Najua mashabiki wetu wameumia sana na matokeo ambayo tulikuwa tunayapata mwishoni mwa ligi. Sisi wachezaji ndio wakulaumiwa kwa kushindwa kufanikisha hilo,naahidi msimu unaofuata hatutakuwa na masihara kama tuliyofanya msimu ulioisha”. Nahodha huyo pia alielezea nafasi yake ilivyokuwa finyu katika kikosi cha kwana, “Kweli nafasi yangu kwenye kikosi ilikuwa finyu sana. Nilikuwa nacheza dakika chache mno,dakika 10 wakati mwingine dakika 5 na hata kama ikitokea nimeanza basi kipindi cha pili sirudi tena uwanjani. Nachofanya sasa ni kujifua zaidi ili niweze kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara. Aliongeza tena “Unajua wakati mwingine inakuwa ngumu kumfanya Mwalimu abadili kikosi chache....