Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya AELEZA KWANINI HAKWENDA KWENYE KABURI LA KANUMBA WALA KU POST

LULU AFUNGUKA MAZITO,AELEZA KWANINI HAKWENDA KWENYE KABURI LA KANUMBA WALA KU POST

Picha
Maswali yalikua ni mengi na mashabiki walitaka kufahamu kwanini mwigizaji Lulu kutoka kwenye kiwanda cha filamu Tanzania hakumpost kwenye Instagram kama ishara ya kuonyesha ulimwengu kwamba anamkumbuka Marehemu Steven Kanumba na vilevile hakuhudhuria kwenye kaburi la Kanumba kama walivyofanya wengine. Siku hiyo ya kutimia kwa miaka minne ya kifo cha Kanumba (Kanumba Day), Waigizaji mbalimbali wa movie Tanzania pamoja na watu wengine kama Mama Kanumba pamoja na Mama Lulu walikwenda kaburini lakini Lulu hakuonekana. Kuhusu kutokuonekana kwake Lulu kwenye Exclusive na millardayo.com ameongea kama ifuatavyo >>> ‘Kiukweli sikuwahi kutaka kuongelea chochote kuhusu hiki kitu kwasababu ninachoamini mimi nina maumivu kuliko mtu yeyote anaedhani nina maumivu, ile siku ni maalum kwa taifa au kwa watu wengine lakini kwangu Kanumba Day ni kila siku‘ ‘Kama watu walikwenda siku ile mimi naweza nikaenda leo, nikaenda kesho… tatizo watu wengi wako-fake wanataka kuon...