Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya CRYSTAL PALACE KUKIPIGA NA MAN UNITED FAINALI FA CUP...

CRYSTAL PALACE KUKIPIGA NA MAN UNITED FAINALI FA CUP...!!!!

Picha
Crystal Palace itakutana na Manchester United katika fainali ya kombe la FA mwaka 2016, kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Watford City. Yannick Bolasie aliongoza Palace kabla ya Troy Deeney kusawazisha kunako dakika ya 55, lakini Conor Wickham alifunga bao la pili na la ushindi kwenye dakika ya 61. Hiyo ni fainali ya kwanza kwa Palace katika kipindi cha miaka 26 kwenye kombe la FA, tangu ilipofungwa na Manchester United mwaka 1990. Manchester United ilitinga fainali ya FA hapo jana baada ya kuifunga Everton mabao 2-1, kwa mabao ya Anthony Martial na Marouane Fellaini, huku Everton wakipata bao la kufutia machozi baada ya beki wa Manchester United Chris Smalling kujifunga.