Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MAZITO YAFUMUKA

DIAMOND PLATINUMS ALI KIBA KIMENUKA TENA,NI HATARI, MAZITO YAFUMUKA

Picha
Stori: Mwandishi Wetu,  Kimenuka! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mafahari wawili wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kutupiana vijembe vya kufa mtu baada ya kuwepo kwa madai ya Kiba kuhujumiwa. Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’. Kwa mujibu wa chanzo makini, ili kuweka hujuma ya kibiashara, hivi karibuni, pamoja na kukanusha mara kadhaa kutokuwa na tatizo na Kiba, Diamond alidaiwa ‘kutengeneza’ kwa makusudi penzi la mwigizaji Jacqueline Wolper Massawe na msanii wa Wasafi Classic Baby (WCB), Rajabu Abdulhan ‘Harmonize’ kisha kuvujisha video ya uhusiano huo mpya siku ambayo Kiba alikuwa akiuachia wimbo wake mpya wa Aje (Jumamosi iliyopita), lengo likiwa kuhamisha upepo mashabiki kutoka kwenye wimbo mpya na kujali mapenzi ya wawili hao. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. “Ni hujuma ya kibiashara, Diamond na uongozi wake wameamua kumfanyia Kiba ili wimbo wake...

MAMA DIAMOND AMFYATUKIA ZARI THE BOSS LADY,AFICHUA SABABU ZA KUM DELETE ,MAZITO YAFUMUKA

Picha
Muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady. Kimenuka tena! Hali ndani ya familia ya staa wa Muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, inadaiwa kuwa si shwari kufuatia mama wa msanii huyo, Sanura Kassim ‘Sandra’ akishirikiana na mwanaye Esma