Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MVUA YASHINDWA KUMZUIA MKUU WA MKOA WA MBEYA KUKIMBIZA SPEED YA HAPA NI KAZI TU ONA HAPA LEO LIVE

MVUA YASHINDWA KUMZUIA MKUU WA MKOA WA MBEYA KUKIMBIZA SPEED YA HAPA NI KAZI TU ONA HAPA LEO LIVE!!

Picha
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala amaliza Mgogoro wa mahali pakujenga zahanati ya kijiji Ameagiza zahanati isijengwe eneo lenye Mgogoro ambalo ndilo lililokusudiwa kwasasa na badala yake lijengwe eneo la ghala karibu na sekondari ya kata Aidha amemwagiza mkurugenzi wa halmashauri kuwachukulia hatua mhandisi wa ujenzi kwa kuwapotosha wananchi kuanza ujenzi sehemu yenye Mgogoro