Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MACHO YANAUMIA KWA KUKOSA MZIMU WA BILL SHANKLY

DIEGO SIMEONE, MACHO YANAUMIA KWA KUKOSA MZIMU WA BILL SHANKLY

Picha
Na Brian Marian Mrope (Gascoigne Brian) Kila mwanadamu katika hii dunia anakuwa na bahati yake katika maisha. Wapo wachache ambao bahati huwa ya kwao maradufu. Nilitamani kumshuhudia Bill Shankly katika kizazi chake, ila ukuaji wangu ulichelewa kuletwa katika uso wa dunia hii. Hivyo nikakosa fursa ya kufahamu mambo mengi yaliyomhusu huyu mwanadamu Bill Shankly. Kutokana na ukuaji wa hii teknolojia, nimeweza kujua ubora wake ulioambatana na bahati katika maisha yake. Diego Simeone najua macho yanauma kwakukosa kombe hili, ila wakati utakapofika nenda kaisikie hata harufu tu ya huyu Bill Shankly, katika kaburi lake huenda akakuachia kitu juu ya michuano hii ya Ulaya. Nimemwangalia Torres yale machozi aliyokuwa ameyatoa usiku ule pale San Siro. Unafikiri yalikuwa machozi ya usoni, hapana yale yalikuwa machozi halisi katika mboni ya macho yake. Nani asiyependa kuvaa medali ya ubingwa akiwa katika klabu yake ya damu?, machozi yake yalikuwa ni ya jasho na...