Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya John Heche: Rais wa China Alipokuja Tanzania Aliondoka na Pembe za Tembo

John Heche: Rais wa China Alipokuja Tanzania Aliondoka na Pembe za Tembo

Picha
Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii mbunge John Heche amezungumzia operesheni tokomeza jinsi ilivochezea watu rafu na kuuawa kama wanyama. Hapo hapo amegusia kuwa Rais wa China alipokuja Tanzania aliondoka na pembe za tembo na hii iliripotiwa na vyombo vikubwa vya habari duniani kama Al Jazeera na BBC lakini serikali haikujibu wala kuchukua hatu. Lakini serikali hii iliwaua wananchi na kuua mifugo yao ili kutokomeza ujangiri kumbe majangiri ndio wao wenyewe   Video Hapa: