Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Van Gaal akiri Imefika Mwisho – Neville Asema Mourinho Ataleta Makombe Lakini Hatodumu

Van Gaal akiri Imefika Mwisho – Neville Asema Mourinho Ataleta Makombe Lakini Hatodumu

Picha
Kocha wa Manchester United Louis van Gaal aliondoka katika hoteli waliyofikia na tiku yake huku akizungumza maneno kwamba ‘it’s over’ baada ya jana kuripotiwa rasmikwamba Jos Mourinho angechukua nafasi yake.    Kocha huyo wa kidachi aliulizwa na ripota wa Sky Sports kama angekuwa na muda wa kuongea, van Gaal akajibu:  ‘It’s over.’ Akitoa ishara kwamba labda tayari ameshafukuzwa kazi.  Kauli hiyo fupi imezidisha kusambaa kwa kwa taarifa za kwamba kocha huyo mwenye umri wa miaka 64 yupo njiani kuondoka Old Trafford.  Jana, muda mfupi baada ya kushinda ubingwa wa FA Cup – taarifa zilizosemekana kutoka kwa wakala wa Jose Mourinho zilizema kwamba mteja wake Jose Mourinho angembadili Van Gaal katika uongozi wa benchi la ufundi la Manchester United.     Mourinho aliondoka Chelsea baada ya kufukuzwa mwishoni mwa mwaka jana kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya kwa mabingwa watetezi wa EPL kwa wakati huo. ...