Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Diamond Aongeza Nyumba nyingine

Diamond Aongeza Nyumba nyingine

Picha
Yeye anapenda kuviita vibanda,leo tena amekamilisha manunuzi ya nyumba nyingine maeneo ya kunduchi kupitia Dalali mwanamkee.....Naona Diamond kila akimsainisha msanii katika lebo yake laZima aongeze na nyumba Je kuna haja ya kumchukia Diamond kama wengine wapo bize kubadiri mademu yeye yupo bize na nyumba