Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya KIGOGO AMJENGEA MJENGO VAI WA UKWELI

KIGOGO AMJENGEA MJENGO VAI WA UKWELI

Picha
Licha ya madai kuwa soko la fi lamu Bongo limeshuka na hivyo kutokuwa na faida kwa wasanii, muigizaji Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ anadaiwa kujengewa nyumba na kigogo anayetajwa kuwa ni mfanyabiashara, maeneo ya Mbezi-Msumi, jijini Dar. Chanzo cha uhakika kililiambia gazeti hili kwamba Vai wa Ukweli tangu awe na kigogo huyo maisha yake yamebadilika kwani muda mwingi anakuwa bize na kusimamia ujenzi wa nyumba yake hiyo ambayo hivi sasa imefi kia usawa na madirisha. “Vai yuko vizuri sana sasa hivi, maana muda mwingi anakuwa kwenye nyumba yake hiyo akiwasimamia mafundi kwa hiyo zile tabia za kupiga misele kwenye viwanja mbalimbali vya starehe siku hizi zimepungua. “Kuna habari kwamba anajengewa na kigogo ambaye ni mfanyabiashara mkubwa wa madini hapa mjini maana si unajua fi lamu hazilipi na yeye mwenyewe hana kazi nyingine ya maana anayofanya,?” kilisema chanzo hicho. Baada ya kupata habari hizo, paparazi wetu alimtafuta Vai wa Ukweli na kumuuliza kuh...