Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Rais John Magufuli Awaaibisha Wale Waliokuwa Wanasema Hajui Kuongea Kiingereza

Rais John Magufuli Awaaibisha Wale Waliokuwa Wanasema Hajui Kuongea Kiingereza

Picha
Unapozungumza jina la Dr John Pombe Magufuli ni jina lilopata umaarufu sana duniani kote kuanzia mwishoni mwa mwaka jana baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo kwa sasa Dr. Magufuli (CCM) ndio Rais wa Tanzania awamu ya tano , Magufuli ni raisi mwenye busara, mvuto kwa jamii, weredi, jasiri,mwenye huruma na wanyonge,mzungumzaji mzuri(good speaker) na mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili (IQ and EQ). Katika kipindi cha kampeni mwaka jana kulitokea uzushi uliosambazwa na wapinzani juu ya mgombea wa CCM hususani UKAWA kwamba mgombea wa CCM Dr. Magufuli hajui kuongea Kingereza. Uzushi huu ulienezwa kwa kasi na kufanya baadhi ya watu kuamini kuwa ni kweli, lakini kumbe sio kweli ilikuwa ni kutaka kumchafua kisiasa. Rais Magufuli aliposhinda uchaguzi na kuwa rais alianza kuwadhihirishia kuwa anajua kuongea kingereza pale alipokuwa anakutana na wageni mbalimbali Ikulu na kuzungumza nao kwa lugha ya kingereza na wapinzani hao kukaa kimya kwa aibu. Katika mkutano...