Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Huyu Ndiye Kidume Mpya wa LULU Shuka Nayo Hapa

Huyu Ndiye Kidume Mpya wa LULU Shuka Nayo Hapa

Picha
Kikohozi cha mapenzi kimeendelea kuyakaba makoo mengi. Baada ya Barakah Da Prince na Naj kushindwa kuzuia chao, Lulu na DJ Majay wameonekana kushindwa kukihimili chao pia.  Udaku mjini unadai kuwa mshindi wa tuzo za AMVCA 2016, Elizabeth Michael aka Lulu amechukua nafasi ya Hamisa Mobeto kwenye moyo wa CEO huyo wa EFM. Majay alimsindikiza Lulu kwenye tuzo hizo zilizofanyika jijini Lagos, Nigeria.  Baada ya muigizaji huyo kushinda tuzo, Majay hakusita kumpongeza. “Congratulation Madam,You Made all of us proud Keep it up! @elizabethmichaelofficial @elizabethmichaelofficial,” aliandika Majay kwenye Instagram.  Picha hiyo ilivutia comments nyingi za kufurahisha na inaonekana kuna watu walikuwa wanaujua uhusiano huo tayari.  new_husnaa: Majizo me napita kaka dancerdancer@elizabethmichaeloffic  lovie_lovie_lovie: This is the most painfull feeling to a woman. Seeing ur man with someone else. Not jus a woman. A successfull woman. Anyway congrats lulu...