TIBA ASILIA YA KUACHA KUVUTA SIGARA.
Sigara JINSI YA KUACHA SIGARA KWA TIBA ASILIA Mwaka mpya wa 2014 ndio umeanza hivyo. Je moja kati ya malengo yako ya mwaka huu, ni kuacha kuvuta sigara ? Kama jibu ni ndio, umepanga kutumia njia gani ili kutimiza lengo lako hilo? Umepanga kutumia dawa za kizungu zilizo tengenezwa kwa kemikali kama vile Nicotine Replacement Products au Cold Turkey ? Umepanga kutumia dawa za asili kama vile Kudzu ama Mkataasigara ? Au utaweka nadhiri ya kuacha...