Pichaz 20 za Idris Sultan, MC Pilipili na Chipukeezy walivyovunja mbavu watu kwenye The Funny Fellas
Usiku wa March 4 ilifanyika Stand Up Comedy katika ukumbi wa Uhuru Auditorum makumbusho ya Taifa Posta, show hiyo iliyopewa jina la The Funny Fellas ambayo ilikutanisha wachekeshaji mahiri kutoka nchi za Afrika Mashariki kama Captain Khalid, Dogo Pepe, MC Pilipili, Chipukeezy, Alex Muhangi na Idriss Sultan. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 20 […]