TOP 6 YA NAMBA 10 BORA KUWAHI KUTOKEA DUNIANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 20
Zinedine Zidane ameshika nafasi ya nne mbele ya Luis Figo na legend wa Juventus Del Piero huku nafasi ya tatu na ya pili ikishikiliwa na Messi pamoja na Ronaldinho. Hii inatokana na mafanikio waliyojipatia nyota hawa katika kipindi cha miaka 20. 6. Del Piero Alikuwa ni moja kati ya washambuliji bora katika historia ya soka nchini Italia, anachukuliwa kama moja wa mastraika waliobarikiwa kiufundi katika kizazi chake. Del Piero pia alikuwa ni fundi wa mipira ya iliyokufa, ameshinda makombe yote aliyotakiwa kushinda katika ngazi ya klabu na pia alifanikiwa kushinda Kombe la Dunia akiwa na timu yake ya Taifa ya Italia mwaka 2006. Na haya ndiyo mafanikio yake JUVENTUS 6 Serie A: 1994–95, 1996–97, 1997–98, 2001–02, 2002–03, 2004–05, 2005–06 2011–12 1 Serie B: 2006–07 1 Coppa Italia: 1994–95; Runner-up (3): 2001–02, 2003–04, 2011–12 4 Supercoppa Italiana: 1995, 1997, 2002, 2003; Runner-up (2): 1998, 2005 1 ...