TOP 6 YA NAMBA 10 BORA KUWAHI KUTOKEA DUNIANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 20
Zinedine Zidane ameshika nafasi ya nne mbele ya Luis Figo na legend wa Juventus Del Piero huku nafasi ya tatu na ya pili ikishikiliwa na Messi pamoja na Ronaldinho.
Hii inatokana na mafanikio waliyojipatia nyota hawa katika kipindi cha miaka 20.
6. Del Piero
Alikuwa ni moja kati ya washambuliji bora katika historia ya soka nchini Italia, anachukuliwa kama moja wa mastraika waliobarikiwa kiufundi katika kizazi chake. Del Piero pia alikuwa ni fundi wa mipira ya iliyokufa, ameshinda makombe yote aliyotakiwa kushinda katika ngazi ya klabu na pia alifanikiwa kushinda Kombe la Dunia akiwa na timu yake ya Taifa ya Italia mwaka 2006. Na haya ndiyo mafanikio yake
JUVENTUS
6 Serie A: 1994–95, 1996–97, 1997–98, 2001–02, 2002–03, 2004–05, 2005–06 2011–12
1 Serie B: 2006–07
1 Coppa Italia: 1994–95; Runner-up (3): 2001–02, 2003–04, 2011–12
4 Supercoppa Italiana: 1995, 1997, 2002, 2003; Runner-up (2): 1998, 2005
1 UEFA Champions League: 1995–96
UEFA Cup Runner-up (1): 1994–95
1 UEFA Super Cup: 1996
1 UEFA Intertoto Cup: 1999
1 Intercontinental Cup: 1996
1 Torneo di Viareggio: 1994
1 Campionato Nazionale Primavera: 1993–94
Tuzo Binafsi
ESM Team of the Year: 1995–96, 1996–97, 1997–98
Most Valuable Player Intercontinental Cup: 1996
European Footballer of the Year Under-21: 1996
FIFA 100
UEFA Golden Jubilee Poll: Top 50 1954–2004.
Giuseppe Prisco National Award: 2006
USSI Prize-Italian sportsman of the year: 2006
Special Prize Gentleman Silver Cup: 2006
San Siro Gentleman Award Serie A: 2006
Golden Foot Award: 2007
Telegatto-Best Sportsman: 2007
ASF Top-100 Players of All-Time
Scirea Award to career: 2008
USSI Silver Ball: 2008–09
International Award for Sport and Civility-Ambassador of Sports: 2009
Sportsman of the Year Golden Award: 2010
Globe Soccer Career Award: 2011
Novara Fair Play Award: 2011
Serie A Italian Footballer of the Year: 1998, 2008
Oscar AIC-Top scorer: 2008
Oscar AIC-Serie A Fan Award: 2001, 2008
Oscar AIC-Award to Career: 2011
UEFA Champions League Top scorer: 1997–98 (10 goals)
Tournoi de France-Top scorer: 1997 (3 goals
Coppa Italia-Top scorer: 2005–06 (5 goals)
Serie B-Top scorer: 2006–07 (20 goals)
Serie A-Top scorer: 2007–08 (21 goals)
Sydney FC Player of the Year Award: 2013
Sydney FC Golden Boot: 2013
Sydney FC Members Award: 2013
PFA Team of the Season: 2013
A-League goal of the season: 2012–13
AFC Team of the Decade: 2015
A-League All Stars Game: 2014
Sydney FC Team of the Decade: 2015
Sydney FC Hall of Fame: 2015
5. Luis Figo
Luis Figo ni moja wa wachezaji wachache walifanikiwa kuiwakilisha Barcelona pamoja na Real Madrid
Aliweka rekodi ya ya kupika nafasi 106 za mabao ambazo ni Lionel Messi pekee ndiye aliyefanikiwa kuivunja.
Alifahamika kwa ujuzi wa ke wa kuchezea mpira na kuwatesa mabeki kwa kufunga magoli mazuri. Ameweka rekodi ya kuichezea timu ya Taifa ya Ureno michezo 127.
Barcelona
La Liga: 1997–98, 1998–99
Copa del Rey: 1997, 1998
Supercopa de España: 1996
UEFA Cup Winners’ Cup: 1997
UEFA Super Cup: 1997
Real Madrid
La Liga: 2000–01, 2002–03
Supercopa de España: 2001, 2003
UEFA Champions League: 2002
UEFA Super Cup: 2002
Intercontinental Cup: 2002
Internazionale
Serie A: 2005–06, 2006–07, 2007–08, 2008–09
Coppa Italia: 2006
Supercoppa Italiana: 2005, 2006, 2008
Tuzo Binafsi
UEFA Under-21 Championship Golden Player: 1994
Portuguese Golden Ball: 1994
Portuguese Footballer of the Year: 1995, 1996, 1997, 1998, 1999, 2000
ESM Team of the Year: 1997–98, 1999-00
La Liga Foreign Player of the Year: 1999, 2000, 2001
Sporting CP Player of the Year: 1994
Inter Milan Player of the Year: 2006
UEFA European Championship Team of the Tournament: 2000, 2004
World Soccer (magazine) Player of the Year: 2000
Ballon d’Or: 2000
FIFA World Player of the Year: 2001
FIFA World Player of the Year – Silver Award: 2000
UEFA Team of the Year: 2003
FIFA World Cup All-Star Team: 2006
FIFA 100
Golden Foot: 2011, as football legend
4. Zinedine Zidane
Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane bado anakubalika na mashabiki waliowengi Duniani kuwa ni moja ya wachezaji waliobarikiwa kuwa na kipaji cha kipekee katika tasnia ya soka, amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanasoka bora duniani akiwa na vilabu vya Real Madrid pamoja na Juventus ya Italia.
Lakini pia amefanikiwa kuchukua Kombe la Dunia akiwa na timu yake ya Taifa ya Ufaransa
Juventus
Serie A: 1996–97, 1997–98
Supercoppa Italiana: 1997
UEFA Super Cup: 1996
Intercontinental Cup: 1996
UEFA Intertoto Cup: 1999
Real Madrid
La Liga: 2002–03
Supercopa de España: 2001, 2003
UEFA Champions League: 2001–02
UEFA Super Cup: 2002
Intercontinental Cup: 2002
Tuzo Binafsi
Ligue 1 Young Player of the Year – 1994
Ligue 1 Player of the Year – 1996
Serie A Foreign Footballer of the Year – 1997, 2001
FIFA World Player of the Year – Bronze award 1997, 2002
ESM Team of the Year – 1997–98, 2001–02, 2002–03, 2003–04
UEFA Club Midfielder of the Year – 1998
L’Équipe Champion of Champions: 1998
FIFA World Cup All-Star Team – 1998, 2006
FIFA World Cup Final Man of the Match – 1998
World Soccer Awards Player of the Year – 1998
French Player of the Year – 1998, 2002
Onze d’Or – 1998, 2000, 2001
Ballon d’Or – 1998
FIFA World Player of the Year – 1998, 2000, 2003
FIFA XI – 1998
El País European Player of the Year – 1998, 2001, 2002, 2003
UEFA Euro Player of the Tournament – 2000
UEFA Euro Team of the Tournament – 2000, 2004
Serie A Footballer of the Year – 2001
UEFA Team of the Year – 2001, 2002, 2003
UEFA Champions League Final Man of the Match – 2002
La Liga Best Foreign Player – 2002
UEFA Club Footballer of the Year – 2002
FIFA World Cup Dream Team – 2002
FIFA 100 – 2004
UEFA Best European Player of the Past 50 Years – 2004
FIFA FIFPro World XI – 2005, 2006
IFFHS World’s Best Playmaker – 2006
FIFA World Cup Golden Ball – 2006
FIFA World Player of the Year – Silver award 2006
UNFP Honorary Award – 2007
Marca Leyenda Award – 2008
Golden Foot Legend Award – 2008
ESPN Team of the Decade – 2009
ESPN Player of the Decade – 2009
Sports Illustrated Player of the Decade – 2009
Laureus Lifetime Achievement Award – 2011
UEFA team of teams – 2011[134]
UEFA Champions League Best Player of the Past 20 Years – 2011
Équipe type spéciale 20 ans des trophées UNFP – 2011
World Soccer Greatest XI of All Time – 2013
3. Lionel Messi
Mchezaji bora duniani kwa sasa Lionel Messi amechukua tuzo hiyo mara tano ndani ya kipindi cha miaka 10. Ameisaidia Barcelona kuchukua makombe manne ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya pamoja na kombe la Liga katika kipindi ambacho kimeifanya Barcelona kutawala soka la Ulaya katika namna ambayo haikuwahi kuonekana miaka mingi iliyopita. Lakini Messi hajashinda taji lolote lile na timu yake ya taifa ya argentina.
Barcelona
La Liga: 2004–05, 2005–06, 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2012–13, 2014–15
Copa del Rey: 2008–09, 2011–12, 2014–15
Supercopa de España: 2005, 2006, 2009, 2010, 2011, 2013
UEFA Champions League: 2005–06, 2008–09, 2010–11, 2014–15
UEFA Super Cup: 2009, 2011, 2015
FIFA Club World Cup: 2009, 2011, 2015
Tuzo Binafsi
FIFA World Player of the Year: 2009
FIFA Ballon d’Or: 2010, 2011, 2012, 2015
IFFHS World’s Best Top Goalscorer: 2011, 2012
IFFHS World’s Best Top Division Goalscorer: 2012, 2013
IFFHS World’s Best Playmaker: 2015
UEFA Club Footballer of the Year: 2009
UEFA Club Forward of the Year: 2009
UEFA Best Player in Europe: 2011, 2015
Ballon d’Or (European Footballer of the Year): 2009
European Golden Shoe: 2010, 2012, 2013
La Liga Best Player: 2009, 2010, 2011, 2012, 2013, 2015
La Liga Best Forward: 2009, 2010, 2011, 2012, 2013, 2015
La Liga Player of the Month: January 2016
Olimpia de Plata (Argentine Footballer of the Year): 2005, 2007, 2008, 2009, 2010, 2011, 2012, 2013, 2015
Olimpia de Oro (Argentine Sportsperson of the Year): 2011
FIFA Club World Cup Golden Ball: 2009, 2011
FIFA Club World Cup Silver Ball: 2015
FIFA World Cup Golden Ball: 2014
Copa América Most Valuable Player: 2015
FIFA FIFPro World XI: 2007, 2008, 2009, 2010, 2011, 2012, 2013, 2014, 2015
UEFA Team of the Year: 2008, 2009, 2010, 2011, 2012, 2014, 2015
La Liga Team of the Year: 2015
AFA Team of All Time (published 2015)
FIFA World Cup Dream Team: 2014
Copa América Dream Team: 2007, 2011, 2015
UEFA Goal of the Year: 2007, 2015
Copa América Best Goal: 2007
FIFPro Young World Player of the Year: 2006, 2007, 2008
Golden Boy (Young European Footballer of the Year): 2005
FIFA World Youth Championship Golden Ball: 2005
FIFA World Youth Championship Golden Shoe: 2005
Copa América Best Young Player: 2007
2. Ronaldinho
Kiungo wa zamani wa FC Barcelona Ronaldinho Gaucho anachukuliwa kama mchezaji bora wa muda wote aliyevaa jezi namba kumi mgongoni, huku akijipatia mafanikio mengi kuanzia ngazi ya Klabu mpaka mafanikio binafsi.
Ronaldinho amefanikiwa pia kushinda kombe la Dunia mwaka 2002 akiwa pamoja na Ronaldo De Lima baada ya kuwachapa Ujermani goli 2-0.
Amefanikiwa kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Dunia mwaka 2004 na 2005, aliweza kuwateka mashabiki wengi duniani kwa pasi zake za kutoona, mipira ya kufa, chenga za maudhi, ukokotaji maridhawa wa mpira pamoja na tabasamu lake uwanjani.
Barcelona
La Liga (2): 2004–05, 2005–06
Supercopa de España (2): 2005, 2006
UEFA Champions League (1): 2005–06
FIFA Club World Cup Runner-up (1): 2006
AC Milan
Serie A (1): 2010–11
Tuzo Binafsi
FIFA Confederations Cup Golden Ball (1): 1999
FIFA Confederations Cup Golden Shoe (1): 1999
Rio Grande do Sul State Championship Top Scorer (1): 1999
CONMEBOL Men Pre-Olympic Tournament Top Scorer (1): 2000
FIFA World Cup All-Star Team (1): 2002
FIFA 100
La Liga Ibero-American Player of the Year (1): 2004
FIFA Confederations Cup Bronze Ball (1): 2005
World Soccer Magazine World Player of The Year (2): 2004, 2005
FIFA World Player of the Year (2): 2004, 2005
Ballon d’Or (1): 2005
Onze d’Or (1): 2005
UEFA Club Forward of the Year (1): 2004–05
UEFA Club Footballer of the Year (1): 2005–06
UEFA Team of the Year (3): 2003–04, 2004–05, 2005–06
ESM Team of the Year (3): 2003–04, 2004–05, 2005–06
Don Balón Award (2): 2003–04, 2005–06
FIFPro World Player of the Year (1): 2005
FIFPro World XI (3): 2004–05, 2005–06, 2006–07
FIFA World Player of the Year – Bronze award (1): 2006
Golden Foot (1): 2009
Bola de Ouro (1): 2012
South American Footballer of the Year (1): 2013
Brazilian Football Museum Hall of Fame
1. Wayne Rooney
Wayne Rooney anaweza asiwe amefanikiwa kuchukua tuzo ya mwanasoka bora Duniani lakini anahesabika na mashabiki kuwa moja ya mchezaji bora wa muda wote wa aliyevaa jezi namba kumi mgongoni kwa kipindi cha miaka 20.
Katika zoezi la upigaji kura kutoka kwa mashabiki wote duniani lililofanywa na mtandao wa soka wa Sokkaa Africa Wayne Rooney aliibuka mshindi katika nafasi ya kwanza akiwa na kura 60 huku akifuatiwa na Ronaldinho aliyepata kura 38.
Rooney amaechukua makombe yote yanayotakiwa kuchukuliwa katika ngazi ya klabu na anahitaji heshima kubwa na kutambulika kama moja ya wachezaji wakubwa katika histpria ya soka Duniani. Rooney amebakiza idadi ya magoli 5 tu kuvunja rekodi ya magoli mengi kuwahi kufungwa katika klabu hiyo ambayo inashikiliwa na Sir Bobby Charlton. Hivi karibuni amevunja rekodi ya idadi kubwa ya magoli kuwahi kufungwa katika timu ya Taifa ya Uingereza.
Manchester United
Premier League (5): 2006–07, 2007–08, 2008–09, 2010–11, 2012–13
Football League Cup (2): 2005–06, 2009–10
FA Community Shield (3): 2007, 2010, 2011
UEFA Champions League (1): 2007–08
FIFA Club World Cup (1): 2008
Tuzo binafsi
PFA Players’ Player of the Year (1): 2009–10
PFA Young Player of the Year (2): 2004–05, 2005–06
PFA Fans’ Player of the Year (2): 2005–06, 2009–10
PFA Premier League Team of the Year (3): 2005–06, 2009–10, 2011–12
FWA Footballer of the Year (1): 2009–10
Sir Matt Busby Player of the Year (2): 2005–06, 2009–10
BBC Young Sports Personality of the Year (1): 2002
Bravo Award (1): 2003
Golden Boy Award (1): 2004
UEFA Euro 2004 Team of the Tournament
FIFPro Young Player of the Year (1): 2004–05
Premier League Player of the Season (1): 2009–10
Premier League Player of the Month (5): February 2005, December 2005, March 2006, October 2007, January 2010
England Player of the Year (3): 2008, 2009, 2014, 2015
FIFA Club World Cup Most Valuable Player of the Final (1): 2008
FIFA Club World Cup Golden Ball (1): 2008
FIFA FIFPro World XI (1): 2011
Premier League 20 Seasons Awards (1992–93 to 2011–12): Best Goal (vs. Manchester City, 12 February 2011)
NB: Habari hii ni kwa mujibu wa mtandao wa sokkaa.com
Maoni
Chapisha Maoni