SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 30 Machi 2016

T media news

Chama cha madaktari wa japan kimethibitisha kuwa maji yana uwezo wa kutibu asilimia 100 magonjwa sugu na maarufu yafuatayo





Iwapo mtu atafuata kanuni na taratibu za kunywa maji hayo kama tiba. Magonjwa hayo ni kama vile kuumwa kichwa, maumivu ya mwili, mfumo wa moyo, moyo kwenda mbio, kifafa, uzito mkubwa, pumu, kifua kikuu, uti wa mgongo, ugonjwa wa figo, magonjwa ya mkojo, kutapika, vidonda vya tumbo, kuharisha, kisukari, saratani, ukosefu wa choo,  matatizo ya macho, tumbo, hedhi sikio na hata pua.




Ili maji yatumike kama tiba unapaswa kunywa maji kiasi chá lita moja na robo au glasi nne kubwa za maji safi na salama na yasiwe maji baridi asubuhi na mapema kabla jua kuchomoza  na kabla ya kupiga msuwaki.
Baada ya kunywa kiasi hicho cha maji, usile wala kunywa kitu  kingine hadi baada ya dakika 45 au saa moja. Baada ya muda huo, unaweza kusafisha kinywa na kula mlo wako wa asubuhi kama kawaida.
Aidha, mara baada ya kula mlo wako wa asubuhi, usile wala kunywa kitu chochote hadi baada ya muda wa saa mbili kupita. Hivyo hivyo utafanya baada ya mlo wako wa mchana au jioni. Huo ukiwa ni utaratibu wa kunywa maji kama tiba ya baadhi ya magonjwa niliyo yataja. Lakini pia kunywa maji kwa mpangilio husaidia kurahisisha utendaji wa mwili.