JOHARI: SIJAOLEWA NA SINA BWANA

Image result for johari changulaImage result for johari changulaImage result for johari changula


Na Amin Amali

Licha ya skendo zote Star wa bongo Movie  Johari amesema kuwa hana mume kwa sasa wala hana bifu na mtu yeyote

  Image result for johari changula


“Sijaolewa wala sijapata wa kunioa nikipata wa kunioa mungu akijali atanioa” amemaliza hivyo Johari kupitia E.fm 

Johari alitamba kupitia kikundi cha sanaa cha Kaole na moja ya kazi alizo zifanya pamoja ni Zizimo,Taswira, Tufani pamoja na Baragumu lakini baada ya kutoka Kaole alicheza filamu ya kwanza akiwa na Kanumba inaitwa Riziki lakini haikuweza kumtoa sawa sawa msanii huyo, filamu iliyo mtambulisha ni Johari


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA