Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Ombeni Sefue ang’olewa Ikulu

Ombeni Sefue ang’olewa Ikulu

Picha
Habari zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa Rais John Pombe Magufuli, amemteua Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, kuchukua nafasi ya Ombeni Sefue ambaye atapangiwa kazi nyingine. Kabla ya uteuzi huo, Mhandisi Kijazi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini India.