Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya SHUJAA WA KWELI ALIYEJITWISHA MABOMU ILI WENZAKE WALE BATA

JEAN-MARC BOSMAN, SHUJAA WA KWELI ALIYEJITWISHA MABOMU ILI WENZAKE WALE BATA

Picha
Na David Wambura Ma-football legends wengi wamewahi kupita kwenye mchezo huu pendwa na kuacha alama zao, Pele na tik-taka, Diego Maradona na goli la ‘mkono wa Mungu’, Zidane na ‘zizou’, Johan Cruyff na mafanikio yake Barca kama kocha na total football yake ambayo imekuja kuzaa tik-taka tunayoiona kwa Pep Gurdiola na baadaye kama mchezaji na style yake maarufu ‘Cruyff turn’, Frans Beckbaur Kaizer aliye define style ya beki wa kisasa wakati ule maarufu ‘sweaper’ na mataji yake kama mchezaji na baadaye kocha kwa Bayern na Ujerumani hadi mafanikio ya miaka 26 ya Sir Alex Ferguson ndani ya United na style yake maarufu ya Fergie time, hao ni watu wazito kwenye soka ambao kwa nyakati tofauti wamewahi acha arama (legacy) itakayoishi daima miongoni mwa wapenda soka duniani kwa miaka mingi ijayo. Ila ‘arguably’ hakuna aliyewahi fanya mapinduzi ya kweli ya kimfumo na kiutawala ndani ya vyombo vikubwa vya kuongoza mpira kama mtu aliyez...