Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Mange Kimambi Afunguka Makubwa Kuhusu Taarifa za Kijana Kukamatwa na Polisi Baada ya Kumuita Rais 'Bwege'

Mange Kimambi Afunguka Makubwa Kuhusu Taarifa za Kijana Kukamatwa na Polisi Baada ya Kumuita Rais 'Bwege'

Picha
Blogger Maarufu kwa kuikosoa serikali na mambo mengine ya kijamii amefunguka maoni yake baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kuwa kuna kijana amekamatwa na polisi mkoania Arusha kwa kosa la kumwita Rais Bwege kupitia mtandao wa Facebook....  Mange Amefunguka haya hapa:   'Mangekimambi_  Seriously??????? Yani natamani kupasuka kwa hasira. Hivi Nchi ya watu million 50 tunawezaje kukubali watu 30 watunyanyase hivi?? Yes hii sheria imeletwa na less than 100 people and unfairly imposed on 50 million people I mean really? Eti huyo kaka amekamatwa hivyo jana kwa kosa la kumsema Magufuli Facebook . Aliweka comment kuwa siasa za Magufuli Ni za maigizo na kwamba wasimfaninishe huyo bwege na Nyerere.... Really? Hivi mnajua tunaanza Kuwa Kama China or North Korea. Really that statement ni ya kumfanya mtanzania awe harassed na polisi?? Sio lazma kila Mtanzania amsifie Magufuli, Sisi tunaomsifia tunatosha wasiompenda pia wana haki ya kutoa maoni yao wanavyojisikia wao. Sasa mbu...