Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Wajua kuwa Salama wa Eatv ana mkopy swaga mtangazaji huyu?

Wajua kuwa Salama wa Eatv ana mkopy swaga mtangazaji huyu?

Picha
Anaitwa  Ellen Lee DeGeneres   amezaliwa tar.  26 Januari   1958  ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini  Marekani , amezaliwa na kukulia  Metairie ,  Louisiana  . Ni mtangazaji wa kipindi maarufu sana duniani ChaThe Ellen Show kikitazamwa na watu wengu zaidi pia kupitia mtandao wa Youtube. Ellen alionekana kwenye Tv kwa mara ya kwanza kupitia show iliyo fahamika kama  Open House  ambamo alicheza kama Margo Van Meter. Mwaka 1992 muandaaji wa vipindi anae fahamika kama  Neal Marlens  akiwa na mwenzie  Carol  walimpa tena nafasi Ellen katika show nyingine ya   Laurie Hill . Kabla ya hapo Ellen alianzia katika uchekeshaji jukwaani katika sehemu tu wanazo uza kahawa hii ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 1980, alibahatika kuwa msema chochote (MC) mwanzoni mwa  1981 katika moja ya majumba ya maonesho lijulikanalo kama Clyde's ComedyClub huko New Orleans mareka...