Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya PICHA NA UJUMBE WA MASTAA WA BONGO KWENYE SIKU YA MOTHER'S DAY

PICHA NA UJUMBE WA MASTAA WA BONGO KWENYE SIKU YA MOTHER'S DAY

Picha
Jumapili ya May 8, ilikuwa ni siku ya mama duniani na mastaa kibao wa Tanzania waliungana na watu wengine kuwaandikia ujumbe wa shukrani mama zao. Hawa ni baadhi yao: Vanessa Mdee  Lady, don’t you know I love ya I thank God for my prayer warrior #MothersDay #AsanteBiMkubwa #SeeFineGal #PleaseGodProtectMyMomma #TimelessBeauty #SheAlmostSixty #BlackDontCrackBruh Irene Uwoya Sijui niseme nin …nakosa ata neno lakusema ila nakupenda kias ambacho siwez kueleza. ….umenifundisha mengi kwenye hiii dunia na pengine nimekuwa sikusikilizi lakini yote uliokuwa ukinambia yametimia. …. umenivumilia kwa mengi sana nimefanya mengi lakin ukuchoka wala kuacha kunipenda. ..nakumbuka mengi sana ambayo ata kuyaaandika siwez. ..hakika wewe ni mama wa shoka. ..nakupenda jana ….Leo. ..sikuzote na atamilele. ..ur da best mom in the world. ..LOVE UUU MUM Feza Kessy Ain’t a woman alive that could take my mama’s place, nor my sisters really hehee Happy Mother’s Day to my Rock/Hero/Friend Rosa. @saida...