EXCLUSIVE : SUPER STAR KAJALA MASANJA AAMUA KUMRUDIA MUNGU,AOKOKA AFUNGUKA SIRI NZITO
EXCLUSIVE!! Kwa mara ya kwanza, mrembo kunako filamu za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa ameokoka hivyo ameamua kumrudia Mungu kwa sababu anaona mambo ya kidunia kwa wakati huu hayana nafasi na si ya kuyaendekeza.