Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya UNAIJUA SABABU ZA VILABU VYA TANZANIA KUAGA MASHINDANO YA KIMATAIFA

UNAIJUA SABABU ZA VILABU VYA TANZANIA KUAGA MASHINDANO YA KIMATAIFA

Picha
Na Albogast Benjamin Ni safari ambayo imekuwa ngumu kwa abiria anayetokea Tanzania kuweza kufika eneo mahsusi, hakika safari hii ni ngumu kuliko safari zote japokuwa ni safari muhimu lakini kama imetushinda tuachane nayo. Tangu mwaka 2003 walipofanikiwa kuvuka safari hiyo abiria 11 kutoka Simba hadi leo hakuna abiria wengine walioweza kupenya kwenye safari hii. Kwanini Timu za Tanzania zote zimeaga mashindano ya kimataifa ? Jibu ni moja tu safari hii inahitaji fedha ya kutosha kwaajili ya nauli na akiba ili uweze kufika unapopataka kwa bahati mbaya ni kwamba vilabu vyetu havihitaji kuwekeza kwaajili ya ushindi lakini wako tayari kuwekeza kwenye matangazo ya kuhamasisha mashabiki kwenda uwanjani, inasikitisha sana, Azam, Yanga, Simba nani amewaambia shabiki hatakuja kama mkicheza vizuri? Najua hakuna jibu. Azam imewakosa Kapombe na Paschal Wawa kwenye benchi hakuna wachezaji wa aina yao je unategemea itashinda? Yanga wamecheza na Al Ahly 2014 wakatolewa wamekuja wamepiga ...