Niliwahi Kumpa Jay Z ‘Blowjob – Asema Mrembo Huyu
Mmoja wa ‘Becky with the good hair’ waliotajwa na Beyonce kwenye Lemonade amejitokeza. Ni Karrine Steffans-Short aliyepewa jina la Superhead. Kuanzia mwaka 2005, alianza kuandika vitabu kama Confessions of a Video Vixen, The Vixen Diaries (2007) na The Vixen Manual: How to Find (2007), Seduce & Keep the Man You Want (2009), ambako anasimulia alivyofanya mapenzi na rappers maarufu akiwemo Jay Z. Wakati album ya Beyonce, Lemonade anaendelea kuzungumziwa zaidi, Steffans-Short ameandika essay kuhusu alipohusika kwenye video ya Jay Z, Hey Papi ambao anadai alimpa Jay Z blow job. “Yes, I was one of Jay Z’s Beckys back in the year 2000 for about three minutes, which is about as long it takes me to satisfy a man in the back of a Maybach while overlooking the beaches of Malibu,” ameandika. Wengine wanaodaiwa kuwahi kuwa na uhusiano na Jay Z ni Rita Ora na Rachel Roy. “Chauffeured away from the set, down the winding road, and closer to the shor...