Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Napoleon Akanusha Kumpa Wema Sepetu Nafasi ya Upendeleo Kuigiza Filamu Mpya

Napoleon Akanusha Kumpa Wema Sepetu Nafasi ya Upendeleo Kuigiza Filamu Mpya, XBaller

Picha
Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon, amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye gazeti moja la kila siku kuwa amempa Wema Sepetu nafasi ya upendeleo kuigiza kwenye filamu yake mpya, XBaller.  “Wema ana kipaji. Sio cha kuigiza pekee yake lakini pia “charisma”. Kitu ambacho watu wachache sana duniani wanacho. Ni kipaji cha kupendwa na akiongea lazima umsikilize. Watu kama Hillary Clinton, Will Smith, Kanye West na hata Elizabeth Michael “Lulu” wanacho,’ Napoleon ameiambia Bongo5.  “Lakini ukweli ni kwamba mara ya mwisho kuongea naye ni zaidi ya miezi mitatu na sijaongea na mwandishi yeyote kuhusu Wema kuwepo kwenye filamu hii ya XBaller. Kulikuwa na fikira za kumu-approach wakati nafanya Going Bongo kwenye part ya Nesi Tina lakini ilikuwa ngumu kidogo. Part aliyocheza Mkenya Nyokabi Gethaiga. Hivi sasa tunafanya usaili wa kutafuta vipaji Tanzania. Tumeshafanya usaili wa wasichana Dar. Tunategemea kufanya Arusha, Mwanza n...