Breaking News: Jengo la Ofisi za Kazi Mtaa wa Bibi Titi Dar Lawaka Moto
Moto umezuka jioni hii kwenye Jengo la ofisi za Kazi, Mtaa wa Bibi Titi Mohammed, Jijini Dar es salaam, na habari zilizotufikia magari ya Zimamoto yapo eneo la tukio na juhudi za kuuzima zinaendelea. Endelea kusikiliza