Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MREMBO ANAYEDAIWA KUMG'OA ZARI THE BOSS LADY KWA DIAMOND PLATINUMS AFUNGUKA

MREMBO ANAYEDAIWA KUMG'OA ZARI THE BOSS LADY KWA DIAMOND PLATINUMS AFUNGUKA

Picha
  Mrembo huyo aliyeuza nyago kwenye Video ya Wimbo wa Kwetu wa msanii wa Diamond, Irene’ Lynn’. Mrembo ambaye wiki mbili zilizopita aligeuka gumzo baada ya kudaiwa ‘kuchepuka’ na staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Irene’ Lynn’ kisha kuleta mtikisiko kwa mpenzi wa msanii huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amefunguka kuhusu ishu hiyo.   Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Akizungumza wikiendi iliyopita baada ya kubanwa aseme ukweli kama anatoka kimapenzi na Diamond, mrembo huyo aliyeuza nyago kwenye Video ya Wimbo wa Kwetu wa msanii wa Diamond aitwaye Raymond alisema kuwa hata yeye ishu hiyo inamshangaza.    Irene’ Lynn’.  Irene alisema siku zote watu hawajiamini wanapomuona msichana mzuri akifanya kazi na mtu fulani na mara nyingine humwekea wivu na kuibua mambo men...