Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Sababu 10 Za Wewe Kuwa Mpweke/Single Na Kukumbwa Na Misukosuko Ya Mahusiano

Sababu 10 Za Wewe Kuwa Mpweke/Single Na Kukumbwa Na Misukosuko Ya Mahusiano

Picha
Wanawake Wakati ambapo unadeti mwanaume kuna ile tabia ya ghafla inayokuja ambayo unajaribu kumkosoa kila kitu ambacho unakiona si sawa kwake ili uweze kuendelea na shani yako ya kumtafuta mwanaume alie sawa aka Mr. Right. Lakini iwapo utakuwa ukiendelea kumtafuta mr Right zaidi na zaidi labda kutaashiria ya kuwa kumpata huyo mr Right si shida ya kwako. Labda wewe ndiwe shida ya kuwa single hadi sasa. Wakati ambapo wanawake hukua, hupenda sana kujikita kuangalia filamu, tamthilia za mahaba ambazo zinajenga dhana ya kuwa mr Right anaweza kutokea siku moja katika maisha ya mwanamke. Dhana hii imekuwa ikiendeshwa na movie nyingi kama vile za Cinderella nk ambapo mhusika anapendwa na mwanaume aliyekutana naye kighalfa na mwishowe wanaishi maisha ya raha mstarehe. Well, hizo ni ndoto ambazo haziwezi kutimia na unafaa kuamka kutoka katika ndoto uliokuwa ukilala na kuikumbatia ulimwengu wa uhalisia. So, sababu za wewe kuwa single mpaka sahizi ni zipi? Kiukweli ni kuwa hakuna mtu anaishi...