Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Kwanini Sisi Wanawake/Wasichana Wanene na Wenye Makalio Hatupati Waume wa Kutuoa?

Kwanini Sisi Wanawake/Wasichana Wanene na Wenye Makalio Hatupati Waume wa Kutuoa?

Picha
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini? 1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi: (a) Miili yetu imepitwa na wakati? (b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?. 2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa? (a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba, (b)Tuanze kuwatongoza wanaume.