Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Wolper ahofia picha zake za utupu kuvuja

Wolper ahofia picha zake za utupu kuvuja!!

Picha
Jacqueline Wolper. Stori:  Hamida Hassan, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Yamemkuta! Nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Massawe yuko katika wakati mgumu kufuatia kuahidiwa na mtu aliyetajwa kuwa ni mpenzi wake wa zamani akimtishia kuvujisha picha zake za utupu. Kwa mujibu wa chanzo cha ‘Ubuyu Ulionyooka’, Wolper kwa sasa hana raha kwani zilipendwa wake huyo (hakutajwa) amekuwa akimwambia kuwa, kama hawatarudiana atavujisha kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii picha hizo alizowahi kumfotoa siku za nyuma. Wolper na Harmonize. AONEWA HURUMA “Ninyi Wolper anatia huruma sana. Unajua nini, kuna mwanaume aliwahi kuwa mpenzi wake kwa siku kadhaa nyuma huko. Sasa nasikia siku moja, wakiwa wametoka klabu (jijini Dar), kufika chumbani, jamaa akachukua simu yake ya kiganjani na kumpiga picha Wolper,” kilidai chanzo hicho. NI KWELI WOLPER ALIKUJA JUU? Kwa mujibu wa chanzo hicho, Wolper alimjia juu jamaa yake kuhusu kumpiga picha akiwa mtupu lakini jamaa akat...