Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya HIVI NDIVYO RAIS MUSEVENI ALIVYO FURAHISHWA NA RAIS MAGUFULI ALIVYO KUTANA NAYE JIJINI ARUSHA

HIVI NDIVYO RAIS MUSEVENI ALIVYO FURAHISHWA NA RAIS MAGUFULI ALIVYO KUTANA NAYE JIJINI ARUSHA

Picha
 Rais Dk. John Magufuli na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni wakizungumza na wanahabari baada ya kukutana na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha Arusha, baada ya Kiongozi huyo wa Uganda kuwasili jijini humo leo kuhudhuria Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiwa katika  mazungumzo kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha jijini Arusha leo Machi 1, 2016 mara tu baada ya Kiongozi huyo wa Uganda kuwasili jijini humo kuhudhuria Mkutano wa !7 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Tovuti : www.ikulu.go.tz               Faksi: 255-22-2113425 OFISI YA RAIS,       IKU...