PICHA 20: UZINDUZI WA NDONDO CUP 2016 ULIVYOBAMBA NDANI YA UWANJA WA BANDARI
June 5 ndiyo ulikuwa uzinduzi way ale mashindano pendwa ya Sports Extra Ndondo Cup chini ya udhamini wa Dr. Mwaka kupitia Foreplan Clinic kwa kushirikiana na Azam TV. Kuna mambo mengi sana yalijiri ndani na nje ya uwanja, inawezekana kuna baadhi ya matukio yalikupita lakini kwasababu timu nzima ya shaffihdauda.co.tz ilikuwepo uwanja wa Bandari inakuletea picha za matukio tofauti yaliyobamba. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Sofia Mjema akikagua timu kabla ya mchezo wa ufunguzi Kikosi cha Temeke Market Timu ya Faru Jeuri Wachezaji wakisalimiana kwa kupeana mikono kama ishara ya fair play Mashabiki wa Temeke Market Mkali wa Singeli Man Fongo akipagawisha mashabiki Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Uhuru Selemani anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini akipasha moto misuli kabla ya kuingia uwanjani kuisaidia timu yake ya Temeka Market Nyomi ya wakazi wa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam walijitokeza kwenye ufunguzi wa Ndondo Cup 2016 Hawa mashabiki wa Temeke...