PICHA 20: UZINDUZI WA NDONDO CUP 2016 ULIVYOBAMBA NDANI YA UWANJA WA BANDARI
June 5 ndiyo ulikuwa uzinduzi way ale mashindano pendwa ya Sports Extra Ndondo Cup chini ya udhamini wa Dr. Mwaka kupitia Foreplan Clinic kwa kushirikiana na Azam TV. Kuna mambo mengi sana yalijiri ndani na nje ya uwanja, inawezekana kuna baadhi ya matukio yalikupita lakini kwasababu timu nzima ya shaffihdauda.co.tz ilikuwepo uwanja wa Bandari inakuletea picha za matukio tofauti yaliyobamba.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Sofia Mjema akikagua timu kabla ya mchezo wa ufunguzi
Kikosi cha Temeke Market
Timu ya Faru Jeuri
Wachezaji wakisalimiana kwa kupeana mikono kama ishara ya fair play
Mkali wa Singeli Man Fongo akipagawisha mashabiki
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Uhuru Selemani anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini akipasha moto misuli kabla ya kuingia uwanjani kuisaidia timu yake ya Temeka Market
Nyomi ya wakazi wa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam walijitokeza kwenye ufunguzi wa Ndondo Cup 2016
Hawa mashabiki wa Temeke Market walikuwa kivutio kikubwa uzinduzi wa Ndondo Cup
Huyu jamaa alinasa juu ya mti na ilibidi msaada kutoka wa wadau wengine ili kumsaidia kushuka
Uhuru Selemani akionesha kazi uwanjani
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Sofia Mjema akizungumza wakati wa kuzindua mashindano ya Ndondo Cup kwenye uwanja wa Bandari, Tandika-Temeke
Shabani Kisiga (kulia) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia goli timu yake ya Temeke Market
Maoni
Chapisha Maoni