SERENGETI BOYS NDANI YA ‘PIPA’ KUSAKA USHINDI MWINGINE

Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imeondoka leo jijini Dar es Salaam kuelekea Seychelles kwa ajili ya mchezo wao wa marudio unaotarajiwa kuchezwa Julai 2.

Kikosi cha Serengeti Boys kinatarajiwa kuwasili Seychelles majira ya saa 9 alasiri huku mchezo wao ukitarajiwa kuchezwa saa 10:00  kwa saa huko.

Kwenye mchezo wa awali uliochezwa kwenye uwanja wa taifa, Serengeti Boys walipata ushindi wa magoli 3-0 hivyo wanahitaji ushindi au sare yeyote ili kufuzu kwa raundi inayofuata.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA