MKUU WA WILAYA MPYA WA IRINGA RICHARD KASESELA ATOA UJUMBE MZITO


Richard Kasesela ni kati ya Wakuu wa wilaya 39 ambao wamebakia katika nafasi zao katika kazi ya ukuu wa Wilaya baada ya Jana Magufuli kutangaza wakuu wa Wilaya wapya..

Baada ya Kutangazwa Wakuu wa wilaya wapya Richard Kasesela Ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook:

"Nashukuru Mh Rais namuomba Mungu azidi kunipa nguvu kuwatumikia wana Iringa na Taifa kwa ujumla."


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA