Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya DIAMOND PLATINUMS TENA

DIAMOND PLATINUMS TENA,MBUNGE ATAKA SNAMU LA ASKARI LITOLEWE AWEKWE DIAMOND,JE NI SAHIHI

Picha
after MP of Ulanga talking in the Parliament about putting a statue of diamond Platnumz instead of police's statue stationed at posta in Dar es salaam, Many people have say of what his contribution in the Parliament, many of have shown to Support through Social Media especially on instagram to claim that it is better be kept Diamond Platnumz, because putting police is bored.

DIAMOND PLATINUMS TENA,UTAJIRI WAKE WA MABILIONI WAZUA UTATA MKUBWA

Picha
Dar es Salaam: Hivi karibuni, Mtandao wa The Net Worth (www.the-net-worth.com) umetangaza utajiri wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ (26) ambapo kwa mujibu wa jarida hilo, nyota huyo ana utajiri wa dola milioni 4 za Kimarekani (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 8.75), jambo lililozua maswali yapatayo 6 miongoni mwa Wabongo. Mtandao huo umekuwa ukijipambanua kwa kuanika utajiri wa watu maarufu barani Afrika wakiwemo David Adedeji Adeleke ‘Davido’ (shilingi bilioni 32), Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ (bilioni 24) na wengineo kibao. Baadhi ya wasomaji wa gazeti hili wameuliza maswali hayo wakisema mwenye uwezo wa kuyajibu ni Diamond mwenyewe na si jarida hilo huku wakitia shaka kwamba, huenda waandaaji wa jarida hilio wamepewa taarifa za uongo na Diamond mwenyewe. AMEPATA WAPI UTAJIRI HUO WA HARAKA? Swali la kwanza ambalo wengi waliosikia taarifa za mtandao huo walihoji, nini chanzo cha utajiri huo kwani wengi wanaamini kwamba hata k...