Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya WEMA SEPETU TENA

WEMA SEPETU TENA,CHECK PICHA AKIMPIGA MABUSU YA UKWELIHUYU JAMAA YAKE MPYA TEAM BIBI WAIBUKA

Picha
Wema Sepetu hana kinga ya ukweli huo na ndio maana kwenye clip iliyowekwa Instagram,anaonekana akibusu na muigizaji mchanga, Koko Byanko utadhani kweli ni wapenzi. Haijulikani filamu hiyo inaitwaje japo Koko amekuwa akiandika ‘Shabiusi’ bila kueleza kama ndio jina lake. Jionee mwenyewe video hiyo.