WEMA SEPETU TENA,CHECK PICHA AKIMPIGA MABUSU YA UKWELIHUYU JAMAA YAKE MPYA TEAM BIBI WAIBUKA

Wema Sepetu hana kinga ya ukweli huo na ndio maana kwenye clip iliyowekwa Instagram,anaonekana akibusu na muigizaji mchanga, Koko Byanko utadhani kweli ni wapenzi.

Haijulikani filamu hiyo inaitwaje japo Koko amekuwa akiandika ‘Shabiusi’ bila kueleza kama ndio jina lake. Jionee mwenyewe video hiyo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA