SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 29 Mei 2016

T media news

MSANII YOUNG KILLER ASEMA AKIPEWA NDINGA NA CHIEF KIUMBE HATOKATAA.

Young Killer alisema haya kupitia kipindi cha eNEWS na kusema kuwa yeye kuwataja madoni kwenye wimbo wake haina maana kuwa amewashawishi ili wampe kitu, bali amefanya hivyo kwa mapenzi yake mwenyewe na kudai hata kama ikitokea kweli akapewa ndiga haiwezi kukataa.

Mbali na hilo Young Killer amesema kuwa moja ya sababu kubwa kuwataja majina watu hao ni kwasababu wamemsaidia kimawazo, kwa kipindi ambacho alikuwa kimya hivyo amefanya hivyo kama kuwakumbuka na kuweka kumbukumbuka kwa kile walichomsaidia.