BAADA YA BIFU ZITO WASANII SHILOLE NA VANESSA MDEE KUPIGA SHOW YA PAMOJA WEEKEND HII


Wasanii wanaofanya vizuri kwenye bongo flava ambao wiki kadhaa walikuwa kwenye bifu zitu hadi kufikia kutishiana na kutukanana mitandaoni huku kisa kikiwa bado hakijulikani.Vanessa na shilole watakuwa na show ya pamoja weekend hii.

Vanessa ameshare tangazo linaloonyesha kuwa na show na msanii shilole

Kwa kudhihirisha hilo shilole naye aka share tangazo hilo kuwa watakuwa pamoja na Vanessa


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA