Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya BREAKINNEWZZ .TANZIA MTOTO WA THE LEGENDARY BLOGGER MICHUZI AFARIKI DUNIA SOUTH AFRICA LEO

BREAKINNEWZZ!!:- TANZIA MTOTO WA THE LEGENDARY BLOGGER MICHUZI AFARIKI DUNIA SOUTH AFRICA LEO !!

Picha
Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni. Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa, msiba utakuwa Tabata Mawenzi jijini Dar es salaam ambako ratiba ya mazishi itatoka mara tu baada ya mwili kuwasili. Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo. Innalillah wa inna ilayhi raajiun.Source Michuzi Blog