Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Breaking News: Daladala na Fuso zagongana Uso kwa Uso watu wengi wadaiwa kufa

Breaking News: Daladala na Fuso zagongana Uso kwa Uso watu wengi wadaiwa kufa

Picha
Ajali mbaya yatokea asubuhi hii katika maeneo ya barabara ya Mandela Road karibu na daraja la matumbi Tabata. Ajali hiyo imehusisha Daladala ya Gongo la mboto ambayo ilikuwa na abiria wengi ndani yake pamoja na Roli lililo kuwa limebeba ng'ombe. Mpaka sasa idadi ya watu waliokufa haijajulikana ila watu wengi wamepoteza maisha.. Tutaendelea kuwajuza kilahabari tutakayo ipata...