Baada ya kudaiwa kumdiss Diamond Platnumz, Belle 9 kayaandika haya…!
Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevani Diamond Platnumz, ujumbe wenyewe ulisomeka hivi>>> Lakini kupitia account yake hiyohiyo, Belle 9 akaandika ujumbe huu mwingine uliosomeka,>>> ‘#Samaqhani ndugu watanzania kwa usumbufu uliojitokeza ,samahani sana kwa mwanamuziki mwenzangu@Diamondplatnumz #emailmnayoiona hapo juu ndio ya hacker […] The post Baada ya kudaiwa kumdiss Diamond Platnumz, Belle 9 kayaandika haya…! appeared first on TZA_MillardAo.