Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Spika wa Bunge Afungua Mkutano Wa Chama Cha Wabunge Wanaopambana Na Rushwa

Spika wa Bunge Afungua Mkutano Wa Chama Cha Wabunge Wanaopambana Na Rushwa

Picha
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania Mjini Dodoma leo tare 8 Mei, 2016. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania Mjini Dodoma leo tare 8 Mei, 2016 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ( katikati  pamoja na viongozi wengine wakifuatilia uwasilishwaji wa mada wakati wa Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania. Wengine katika ni , Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki  (kushoto) na Cecilia Paresso (Mb) – Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho. Wakili wa kujitegemea Bw. Said Yakubu akiwasilisha mada wakati wa Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania. (Picha na Ofisi ya Bunge)